Top
Creative Writing. / Poetry  / Sahibu wa dhati.

Sahibu wa dhati.

User Review
0 (0 votes)

Kuna binti kanizengue,

Uhondo teletele kanibubujia,

Kicheko twaliangua.

 

Tukiwa mamoja,

Furaha inazolea,

Tabasamu si haba.

 

Sahibu wa dhati keshakua,

Kila uchao namuwaza,

Roho nitamfungulia.

 

Script n Ryhme

by ©Shedyk 2013

Shadrack Serem
No Comments

Post a Comment